HabariMilele FmSwahili

Wanaosaka kuhudumu kama makamishna katika tume ya SRC kuhojiwa leo

Mahojiano ya wanaosaka kuhudumu kama makamishna katika tume ya mishara yanaanza leo. Jumla ya watu 42 waliotuma maombi ya kujaza nafasi hizo watafika mbele ya kamit ya seneti kujieleza kwa nini wanafaa kupewa frusa ya kuhudumu kwenye tume hiyo. Watu 14 watahojiwa leo, miongoni mwao aliyekuwa mwakilishi akina mama kaunit ya Kakamega Rachel Ameso.

Show More

Related Articles