HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu : Tunatambua bidii ya msanii wa uchoraji Mercy Obukwa

Sanaa ya uchoraji ni mojawapo ya sanaa inayoendelea kukita mizizi hapa nchini huku wengi wakijitosa kwenye sanaa hii wakiwemo wanawake.

Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga na mchoraji Mercy Obukwa ,msanii ambaye kazi yake imewavutia wengi duniani akiwemo rais Uhuru Kenyatta na hata aliyekuwa rais wa marekani Barack Obama. Hii hapa taarifa hiyo kwenye makala ya Ari Na Ukakamavu.

Show More

Related Articles