HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani aanza ziara nchini

Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa marekani Rex Tillerson amewasili nchini alasiri ya leo kwenye ziara yake ya bara afrika ambapo anatarajiwa kuzuru mataifa 5 ya bara hili.

Anatarajiwa kukutana na rais Uhuru Kenyatta kesho kwenye ikulu ya rais kwa mazungumzo rasmi.

Show More

Related Articles