HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Vinara wa NASA wakiri hawakufahamishwa kuhusu kikao cha leo

Vinara wenza wa NASA Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi na Moses Wetangula wanasema hawakuwa na ufahamu wowote kuhusiana na mkutano kati ya rais Uhuru Kenyatta na kinara wa upinzani Raila Odinga.

Hata hivyo, Wetangula akiongea katika kaunti ya Bungoma amesema hatua waliochukua viongozi hao wawili ni ya busara. Gordon Odhiambo anaarifu zaidi kuhusiana na mseto wa hisia uliofuata baada ya mkao huo wa Kenyatta na Odinga.

Show More

Related Articles