HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Rais Kenyatta na Odinga waahidi kushirikiana kuunganisha taifa

Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga leo wamekutana na kufanya kikao na kwa pamoja kukubaliana kuzika tofauti zao na kusonga mbele kama taifa.

Haya yalijiri katika ofisi ya rais Harambee huku wawili hao wakiahidi kushirikiana kuhakikisha kuwa wametatua matatizo yanayokumba nchi na kutuliza joto la kisiasa.

Show More

Related Articles