HabariMilele FmSwahili

Jaji William Ouko ndiye rais wa mahakama ya rufaa

Jaji William Ouko ndiye rais wa mahakama ya rufaa. Jaji Ouko anachukuwa mahala pa jaji Paul Kariuki Kihara aliyependekezwa na rais Kenyatta kuhudumu kama mkuu wa sheria. Idara ya mahakama pia imemchagua jaji Mohamed Warsame kama mwakilishi wake katika tume ya huduma za mahakama

Show More

Related Articles