HabariMilele FmSwahili

Katibu wa masuala ya kigeni wa Marekani Rex Tillerson kuzuru Kenya leo

Katibu wa masuala ya kigeni wa Marekani Rex Tillerson anazuru kenya leo .Tillerson ameratibiwa kukutana na rais Uhuru Kenyatta, viongozi wa upinzani na wale wa mashirika ya umma ambapo masuala ya kisiasa yatashamiri mazungumzo yao. Waziri wa mambo ya kigeni balozi Monica Juma amedhibitisha kuwa swala la usalama wa kikanda pia litajadiliwa

Show More

Related Articles