HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watahiniwa sita wamehojiwa na jopo la ukaguzi

Ukaguzi wa watahiniwa wa kujaza nafasi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ulianza hii leo, ambapo jopo la ukaguzi limefanikiwa kuwahoji watahiniwa sita.

Kati ya waliofika mbele ya jopo hilo hii leo ni pamoja na aliyekuwa kamishna wa IEBC Thomas Letangule, kaimu mkurugenzi wa mashtaka ya umma Dorcas Oduor miongoni mwa wengine. Baada ya ukaguzi huu ambao utakamilika hapo kesho, jopo hili litapendekeza majina tatu kwa rais Kenyatta, ambaye atamteua mkurugenzi huyo kama anavyotuarifu Kiama Kariuki.

Show More

Related Articles