HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Gavana Laboso asema alipata kiti kwa jasho

Huku ulimwengu mzima ukiadhimisha siku ya wanawake hii leo,kuna wanawake wengi nchini ambao walikabiliana na changamoto si haba wakitafuta nafasi za uongozi wakati wa uchaguzi mkuu uliopita.

Mmoja wa wanawake hao ni gavana wa Bomet Joyce Laboso ambaye katika bunge lililopita alikuwa naibu spika ,na hii leo amesema naye mwanahabari wetu Angela Cheror kuhusu changamoto wanazopitia wanawake wanapokabiliana na wanaume kwa nyadhifa za uongozi mwiongoni mwa changamoto nyingine nyingi anazopitia mama.

Show More

Related Articles