HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Dkt. Monica Ogutu amevumbua kifaa cha kuzuia mama kuvuja damu akijifungua

Asilimia 25 ya vifo vya kina mama wanapojfungua hutokana na kuvuja damu baada ya kujifungua, huku mbinu nyingi zikibuniwa ili kuokoa maisha ya mama iwapo watapata matatizo ya kuvuja damu.

Moja wapo wa mbinu hizo ni uvumbuzi wa kifaa kinachojulikana kama UBT. Ni hatua ambayo imesaidia kupunguza vifo vya kina mama wanaovuja damu baada ya kujifungua. Tunaposherehekea siku ya wanawake,mwanahabari wetu Nancy Onyancha anakuletea safari ya daktari Monicah Ogutu ambaye ni muasisi wa kifaa hicho nchini Kenya.

Show More

Related Articles