HabariMilele FmSwahili

Alfred Keter akata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kubatili ushindi wake

Aliyekuwa mbunge wa Nandi Hills Afred Keter amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliyobatili ushindi wake. Keter anasema mahakama haikutoa uamuzi huo kwa uwazi. Wakati huo aliyekuwa anawania ugavana Migori, Ochillo Ayacko naye pia amefika mahakamani kupinga uamuzi ulioridhia ushindi wa gavana Okoth o Obado. Mahakama ilidai Ayacko ambea alikuwa muaniaji huru hakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha ushindi wake

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.