HabariMilele FmSwahili

Watu 6 wafariki kufuatia mkurupuko wa Cholera Tana River

Watu sita wamefariki kufuatia mkurupuko wa maradhi ya cholera kaunti ya Tana River. Mkurugenzi wa afya ya umma eneo hilo Oscar Endekwa anasema watu wengine 54 wametengwa wakipokea matibabu. Ametoa tahadhari kwa wenyeji kudumisha usafi kwa kuhakikisha wanakula na kunywa maji safi.

Also read:   Mwana wa miaka 10 gukua nikiria kirekuo ni murimu wa kuharwo gatema
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker