HabariMilele FmSwahili

Serikali ya kaunti ya Kiambu yaagizwa kufunga baa zote kaunti hiyo

Serikali  ya kaunti ya Kiambu imeagizwa kufungwa baa zote kaunti hiyo. Hii ni baada ya gavana Ferdind Waititu kuidhinisha sheria kuhusu udhibiti wa pombe kaunti hiyo. Sheria hiyo inawashinikiza wamiliki wa baa kupigwa msasa upya kabla ya kupokea leseni za kuuza vileo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.