HabariPilipili FmPilipili FM News

Ulimwengu Waadhimisha Siku Ya Wanawake Duniani

Ulimwengu mzima hii leo unaadhimisha siku ya wanawake duniani huku changamoto ikitolewa kwa watoto wa kike kulindwa haki zao ikiwemo kukuzwa katika miongozo ya kuwa wanawake bora katika siku za baadae.

Baadhi ya wanaharakati wa kutetea haki za wanawake wametoa wito kwa viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wanawafahamisha watoto wa kike kuhusiana na jinsi ya kujikuza kimaendeleo badala ya kuhubiri tu.

 

Show More

Related Articles