HabariMilele FmSwahili

Madaktari waliohusishwa na upasuaji wa ubongo kimakosa KNH waruhusiwa kurejea kazini

Madakatari waliohusishwa na upasuaji wa ubongo kimakosa hospitalini  Kenyatta wameruhusiwa kurejea kazini. Nayo bodi ya muungano wa madakatari KMPDU ina muda wa siku 7 kuchunguza yaliojiri katika upasuaji huo na kuwasilisha taarifa kamili.

Show More

Related Articles