HabariPilipili FmPilipili FM News

Seneta Kilonzo Apinga Hoja Yakumuondoa Waziri Wa Afya.

Seneta Mutula Kilonzo amepuzilia harakati za wabunge 160 waliotia saini hoja ya kumtimua waziri wa afya Sicily Kariuki kwa kumtuma likizo ya lazima afisa mkuu wa hospitali kuu ya Kenyatta Lily Koros.

Seneta Mutula ameonya dhidi ya swala hilo kuingizwa siasa za ukabila.

Hayo yanajiri bodi ya hospitali hiyo ikitarajiwa kuzungumzia swala hilo wakati wowote sasa.

Show More

Related Articles