HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Magavana watajadili tofauti zilizoibuka baina ya Waititu na Ngilu

Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua na mwenzake wa Nyeri Mutahi Kahiga wanataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya walioimba wimbo wa kuwakejeli wanajamii wakamba na gavana mwenza wa kitui Charity Ngilu.

Wawili hao ambao wamekubaliana kushirikiana kwenye ajenda ya kimaendeleo wanasema ipo haja ya tume ya uwiano kutekeleza majukumu yake kwa uwazi na kuhimiza utangamano na mshikamano wa taifa.

Show More

Related Articles