HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi wawili wasombwa na maji wakiendea karo Murang’a

Wanafunzi wawili kutoka shule ya msingi ya kigio, katika kaunti ndogo ya Gatanga Murang’a walifariki baada ya kusombwa na maji katika mto Chania, walipotumwa nyumbani kuendea karo ya shule.

Aidha katika kaunti hiyo hiyo ya Murang’a familia moja katika kijiji cha Ng’araria eneo la Kandara , iliponea kifo kwa tundu la sindano baada ya makazi yao kuangukiwa na kikingi cha umeme usiku wa kuamkia leo.

Show More

Related Articles