HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mgonjwa aliyekosa kufanyiwa upasuaji KNH aruhusiwa kwenda nyumbani

John Mbugua Ndiritu mgonjwa aliyefika katika hospitali ya Kenyatta akihitaji kufanyiwa upasuaji wa kichwa, baada ya kuwa na mgando wa damu katika sehemu moja ya kichwa, hatimaye, ameruhusiwa kwenda nyumbani.

Mbugua amabye alitoka hospitalini, akitembea mwenyewe akiandamana na dadake, anashukuru kwamba yu hai tofauti na madai kuwa alikuwa ameaga. Mbugua ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kubainika kuwa hatahitaji kufanyiwa upasuaji sasa kwani anaendelea kupata nafuu

Show More

Related Articles