HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Gavana wa Murang’a awasilisha mswada Seneti kuwalinda wachuuzi

Huenda wachuuzi kote nchini wakapata afueni, iwapo bunge la senate litapitisha mswada wa kudhibiti na kulinda biashara zao kupitia sheria.

Mswada huo ulioandikwa na kuwasilishwa katika bunge la senate na gavana wa Murang’a Mwangi Wa Iria unapendekeza kutambuliwa kwa wachuuzi kama wanabiashara, na kuwekwa kwa mipango maalum ya kuwasajili pamoja na biashara zao, badala ya kukimbizana huku na kule na mafisa wa kaunti. Kama anavyotuarifu Kiama Kariuki, wachuuzi watakubaliwa kuendesha biashara zao kati kati mwa jiji, lakini kwa mpangilio maalum.

Show More

Related Articles