HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Makosa yamegunduliwa kwenye vitabu vinavyosambazwa na serikali

Shule tofauti kote nchini zimelalamikia kuwepo kwa dosari za kisarufi katika vitabu vya somo la Kiswahili na Kiingereza haswa vya shule za upili na hivyo kutatiza masomo shuleni. Tayari shule kadha zimeripoti visa hivyo na kuhofia kwamba huenda uchapishaji wa haraka ukasababisha makosa yatakayowakanganya wanafunzi. Mwenyekiti wa shirika la uchapishaji wa vitabu vya shule Lawrence Njagi amethibitisha kupokea malalamishi hayo na kusema kwamba ni baadhi ya changamoto zinazoshuhudiwa wakati wa shughuli za uchapishaji.

Show More

Related Articles