HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri Amina amempa naibu chansela wa chuo kikuu cha Meru likizo ya lazima

Waziri wa elimu Amina Mohamed amempa likizo ya mapema akisubiri kustaafu naibu wa chansella chuo kikuu cha Meru Japheth Magambo, baada ya tukio na maandamano yaliyopelekea mauaji ya kiongozi wa wanafunzi chuoni humo wiki jana. Waziri Amina aliyezuru chuo hicho hii leo amemteua Prof Charity Gichuki kama kaimu naibu wa chansella, huku akiwataka maafisa wa polisi kuendeleza uchuguzi kwa haraka kuhakikisha kuwa haki imetendekea.

Show More

Related Articles