HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Baadhi ya wabunge wanataka kumfurusha waziri Sicily Kariuki

Kufuatia mtafaruku wa mgonjwa kufanyiwa upasuaji kimakosa katika hospitali kuu ya Kenyatta,bodi ya hospitali hiyo sasa imeiteua kampuni moja ya kibinafsi kufanya ukaguzi kuhusu oparesheni zake huku uchunguzi kuhusu upasuaji huo ukiendelea. Haya yamejiri huku baadhi ya wabunge wakielezea nia ya kuwasilisha hoja ya kutaka kumwondoa afisini waziri mpya wa afya Sicily Kariuki kwa kutowajibikia majukumu yake ipasavyo katika wizara hiyo.

Show More

Related Articles