HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Matiang’i aagiza marufuku ya kutotoka nje usiku kwa siku 90

Waziri wa usalama wa ndani Dr Fred Matiang’i ametangaza marufuku ya kutotoka nje kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa kumi na mbili asubuhi, katika kaunti ndogo ya Cheptais maeneo ya mlima Elgon, kaunti Bungoma. Mataing’i alitangaza marufuku hiyo alipozuru eneo hilo kutathmini hali ya usalama mlima Elgon kufuatia visa vya utovu wa usalama.

Show More

Related Articles