HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge wakutana kujadili mwelekeo wa taifa baada ya uchaguzi

Malalamishi kuhusu serikali kuu kuingilia shughuli za bunge yalichukua nafasi kubwa katika siku ya kwanza ya warsha ya siku 4 ya wabunge kujadili yaliyojiri kabla na baada ya uchaguzi mkuu. Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amewataka wabunge kufahamu majukumu yao ili kurahisisha utendakazi huku Kiongozi wa Wengi Aden Duale akitaka upinzani kukoma kuikosoa serikali kiholela. Wakati huo huo Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu amesisitiza haja ya kuheshimiwa kwa maagizo ya mahakama akisema hatua hiyo ndio njia ya pekee ya kuboresha uhusiano baina ya idara kuu za serikali.

Show More

Related Articles