HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Jopo lililoteuliwa kuandaa ripoti kuhusu uharibifu wa misitu lazinduliwa rasmi

Jopo lililotwikwa jukumu la kuandaa ripoti kuhusu hali halisi ya misitu nchini katika muda wa siku 30 zijazo limezinduliwa leo na Naibu Rais William Ruto pamoja na Waziri wa Mazingira Keriako Tobiko . 
Wakati wa uzinduzi huo, Ruto amesema kuwa serikali inatilia maanani umuhimu wa kuhifdathi misitu na vyanzo vya maji na hivyo basi italiunga mkono jopo hilo kwa hali na mali. 


Show More

Related Articles