HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Uhuru Kenyatta awaonya makatibu wapya wa wizara

Rais Uhuru Kenyatta ametishia kuwapiga kalamu kando na kuwafungulia mashtaka maafisa wakuu serikalini ambao watafuja mali ya umma.

Akizungumza baada ya kuapishwa kwa makatibu washirikishi na makatibu wa wizara katika ikulu ya Rais, Kenyatta amesema ni sharti azma yake ya kutekeleza ajenda nne muhimu ifanikiwe na haitafanyika iwapo kutakuwa na wafisadi serikalini.

Na kwa maneno yake mwenyewe, Kenyatta amewaambia makatibu hawa kwamba kila mmoja ataubeba msalaba wake kama anavyotuarifu kiama kariuki.

Show More

Related Articles