HabariPilipili FmPilipili FM News

Tuko Tayari Kuandaa Chaguzi Ndogo Yasema IEBC.

Tume ya uchaguzi nchini IEBC inasema iko tayari kuandaa chaguzi ndogo za marudio.

Hii ni kutokana na maamuzi ya mahakama kwenye kesi za kupinga ushindi wa baadhi ya viongozi , ambapo ushindi wa baadhi ya mavana na hata wabunge umebatilishwa na mahakama kuagiza uchaguzi urudiwe.

 

Kati ya viongozi waliopoteza nafasi zao ni gavana wa Embu Martin Wambora huku wa hivi karibuni kupoteza kiti chake akiwa ni mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter.

Show More

Related Articles