HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika : Watawa wa Kakamega waliojitwika jukumu la malezi ya watoto

Katika desturi za kanisa Katoliki, watawa hutumiwa haswa kwa maombi ya waumini wote ama hata kufanya maombi kwa maulana kwa niaba ya muumini anayehitaji maombi spesheli.
Lakini katika kauntii ya Kakamega, kuna kundi la watawa ambao kando na kujitolea maishani mwao kuwaombea watu wamejitwika jukumu la kuwachukua na kuwalea watoto walioathiriwa na ulemavu wa kila aina wametenga sehemu ndogo ya majengo ya kanisa ampapo wanawapa watoto hao mafunzo msingi, ushauri na hata kuwapa mazoezi ya misuli waliolemaa kimaumbile.
Dennis Matara na makala ya Wasiotambulika, akiwaangazia watawa wa Kakamega.

Show More

Related Articles