HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge mbishi wa Nandi Hills Alfred Keter apoteza kiti chake

Mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter ni miongoni mwa wabunge watatu walioangukiwa na shoka la ushindi wao kufutiliwa mbali na mahakama kuu .
Kando na Keter mbuge wa Ugenya Chris Karan na Wanjiku Kibe wa Gatundu kaskazini pia hawakusazwa baada ya ushindi wao kufutiliwa mbali.
Timothy Simwa na mseto wa taarifa kutoka mahakamani.

Show More

Related Articles