HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Gatundu Kaskazini Wanjiku Kibe apoteza kiti chake

Mahakama kuu imefutilia mbali ushindi wa mbunge wa Gatundu Kaskazini Wanjiku Kibe ikisema uchaguzo haukuandaliwa katika mazingira huru na kuaminika. Mahakama hiyo imeiagiza tume ya IEBC kumlipa bi Kibe shilingi milioni tatu na mlalamishi aliyekuwa mbunge wa eneo hilo shilingi milioni 1.5

Show More

Related Articles