HabariMilele FmSwahili

Alfred Keter apata pigo baada ya mahakama kutupilia mbali ushindi wake

Mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter amepata pigo baada ya mahakama kuu ya Eldoret kutupilia mbali ushindi wake. Jaji George Kimondo ameridhia ombi la mlalamishi Bernard Kitur kuwa uchaguzi ulikumbwa na visa vingi vya udanganyifu. Jaji kimondo ameagiza uchaguzi kuandaliwa upya. Akizungumza baada ya mahakama kutoa uamuzi Keter ameda masaibu yake yanatokana na juhudi zake kupiga vita ufisadi serikalini.

Show More

Related Articles