HabariMilele FmSwahili

IPOA yaanza kuchunguza mauaji ya kiongozi wa wanafunzi katika chuo kikuu cha Meru

Mamlaka ya kuangazia utendakazi wa polisi IPOA imeanza kuchunguza mauaji ya kiongozi wa wanafunzi katika chuo kikuu cha Meru jana. IPOA inasema itawahoji wahusika wote ili kubaini ukweli kuhusu madai kuwa polisi ndiye aliyetekeleza mauaji hayo. Yanajiri haya huku wabunge kutoka kaunti ya Meru wakaiitaka idara ya polisi kuhakikisha afisa wake aliyemuua mwanafunzi huyo anakamatwa mara moja

Show More

Related Articles