HabariMilele FmSwahili

Kesi ya kupinga ushundi wa gavana Ali Roba yatupiliwa mbali

Gavana wa Mandera Ali Roba amepata idhini ya kuendelea kuhudumu baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kesi ya kupinga kuchaguliwa kwake. Jaji George Ochieng ameamua kuwa mlalamishi Hassan Noor hakuwasilisha ushahidi wa kutoka kudhibitisha madai ya uchaguzi kukumbwa na visa vya udanganyifu. Jaji Ochieng vile vile amemwagiza Noor kulipa shilingi miliioni tano kugharamia kesi hiyo.

Show More

Related Articles