HabariMilele FmSwahili

Mwanamke raia wa Kenya azuiliwa nchini Ghana kwa tuhuma za ulanguzi wa mihadarati

Mwanamke raia wa Kenya anazuiliwa nchini Ghana kwa tuhuma za ulanguzi wa mihadarati. Ivy Mugure Daniel wa miaka 26 alikamatwa katika uwanja wa ndege wa kwa madai ya kusafirisha mihadatari yenye thamani ya shilingi milioni 9. Maafisa nchini humo wanadai kuwa Ivy alikamatwa mnamo Januari 9 mwaka huu baada ya kuwasili katika uwanja huo kwa ndege ya shirika la Ethiopia.

Show More

Related Articles