BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Nyota Ndogo: Wafungwa Wapewe Nafasi Ya kusoma Katiba

Nyota ndogo ameonyesha kukerwa na jinsi wafungwa wananyimwa haki ya “kuapisha” gerezani.

kupitia ukurasa wake Instagram Nyota ndogo ameelezea kuwa wafungwa kupewa nafasi ya kuonana kimapenzi na wapendwa wao itapunguza ushoga ndani ya geereza  pamoja na kuwazuia wanawake ambao waume wao wako gerezani kuenda nje ya ndoa

BASI KUTENGENEZE VYUMBA AMBAVYO KUTAKUWA NA MASHARTI KWA WAFUNGWA WALIO NA WAKE ZAO KILA MWEZI WAKE WAJA MARA MBILI KWA MWEZI AMA HATA MARA MOJA KWA MWEZI ILI WAWEZE KUKUTANA KIMAPENZI MAANA S3X IPO NA PIA NASKIA KULE JELA WANANUME UFANYANA WAKE KWAAJILI YA UKOSEFU WA WANAWAKE KWANZA WALIO FUNGWA MILELE

Nyota pia ametoa mpangilio  maalum jinsi zoezi hilo linafaa kuendeshawa

WATENGENEZEWA ROOMS KADHAA NA WAWE WANAZISAFISHA WENYEWE YANI KAMA MKE KAJA WAKIMALIZANA WANZITOA SHUKA WANAFUA WAO WANASAFISHA ILE ROOM WANREGESHA FUNGUO. KUTUMIA CONDOM NI LAZIMA KUEPUKA MIMBA MAANA MTOTO ATALETWA VIPI KAMA BABA YUPO JELA MAYBE AWE NIWADOSI NA WANATAKA MTOTO.

 

Show More

Related Articles