HabariMilele FmSwahili

NCIC yalaani kuchomwa kwa gari lililoaminika kusafirisha makaa mjini Mwingi, Kitui

Tume ya uuiano na utangamano NCIC imelaani kitendo cha kuchomwa gari lililoaminika kusafirisha makaa mjini Mwingi kaunti ua Kitui. Afisa mkuu wa NCIC Hassan Mohamed ameonya kuwa watakaopatikana na hatia ya kuhusika katika kitendo hicho watachukuliwa hatua za kisheria. Hassan hata hivyo amedhibitisha kuwa gavana Ngilu hakuandikisha taarifa katika NCIC kuhusiana na madai dhidi yake

Show More

Related Articles