HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Tiba jangwani : Mkojo wa ngamia Wajir unaaminika kutibu maradhi mengi mwilini

Je, umewahi kufahamu kwamba mbali na ngamia kutumika kubeba mizigo kila kitu kwake kina umuhimu kulingana na jamii ya wafugaji?
Sasa wanajamii wa kaunti ya Wajir wanaamini kwamba mkojo wa ngamia una manufaa makubwa kwa mwili haswa katika kuponya magonjwa sugu.

Caleb Ratemo amerejea kutoka kaunti hiyo pana alikoonja mkojo wa ngamia.

Show More

Related Articles