HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mbunge wa Marakwet East Kangogo Bowen apoteza kiti

Mbunge wa Marakwet East David Bowen Kangogo amekuwa mbunge wa kwanza kutoka kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa kupoteza kiti chake, baada ya jaji wa mahakama kuu mjini Eldoret George Kimondo kufutilia mbali ushindi wake wa Agosti 8.
Katika maamuzi mengine, wabunge kadhaa na magavana wamepata afueni baada ya kesi za kupinga uchaguzi wao kutupiliwa mbali na walalamishi kuagizwa kulipa mamilioni ya pesa kama gharama ya kesi.

Show More

Related Articles