HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Spika Muturi atupilia mbali ombi la kung’atua wanachama 7 wa JSC

Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi ametupiliia mbali ombi lililowasilishwa na wakili Adrian Kamotho Njenga lililopendekeza kuondolewa kwa makamishna saba wa tume ya huduma za mahakama JSC akiwemo jaji mkuu David Maraga na naibu wake Philomena Mwilu.
Kwenye taarifa yake bungeni spika amesema kuwa ombi hilo linakanganya kwa kimsingi ya kikatiba na iwapo bunge litajihusisha nalo basi itakuwa ni hatari kwa mkondo wa sheria nchini.

Show More

Related Articles