HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

KICD yapigwa msasa bungeni kuhusu usambazaji wa vitabu shuleni

Changamoto za ukosefu wa vitabu za mtaala mpya wa elimu katika shule za msingi na upili zitakuwa zimetatuliwa kabla ya muhula wa kwanza kukamilika.
Taasisi inayohusika na maandalizi ya mitaala nchini KICD imesema mikakati imewekwa kuhakikisha hilo limetimia ili kuhakikisha wanafunzi wanapata fursa ya kujifahamisha kikamilifu na mtaala mpya wa elimu.

Show More

Related Articles