HabariMilele FmSwahili

Mahakama yatupilia mbali ushindi wa mbunge wa Marakwet Mashariki Kangogo Bowen

Mahakama kuu ya Eldoret imefutilia mbali ushindi wa mbunge wa Marakwet Mashariki Kangogo Bowen. Jaji George Kimondo ameamua kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki. Jaji huyo hata hivyo amekataa ombi la mlalamishi aliyekuwa mbunge lina Chebii Kilimo kutajwa mshindi wa uchaguzi badala yake akiagiza tume ya iebc kuandaa uchaguzi upya. Mbunge Bowen na Chebii pia wametakiwa kulipa gharama ya kesi shilingi milioni 1 kila mmoja.

Show More

Related Articles