HabariMilele FmSwahili

Mwanamume auwawa kwa kudungwa kisu na mpenziwe kaunti ya Kirinyaga

Mwanamume mmoja ameuwawa kwa kudungwa kisu na mpenziwe kutokana na mzozo wa mapenzi katika kaunti ya Kirinyaga. Inaarifiwa wawili hao walikabiliana baada ya mpinziwe kumkumbatia mwanaume mwengine. Aidha marehemu anadai kumdunga mpinziwe na kisu shingoni kabla ya mwanamke huyo kumshinda nguvu na kumdunga kisu hicho kufuani.

Show More

Related Articles