BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Amani Akanusha Madai Kwamba Alijiunga Na Gospel Juu Ya Pesa

Baada ya mwanamziki maarufu hapa nchini Amani kutangaza kuasi mziki wa secular na  kujiunga na Gospel mengi yamesemwa kumhusu wengi wakidai alihamia upande huo kwa sababu ya mihela.

Madai ambayo ameyapinga vikali.

 

 “I HAVE HEARD RIDICULOUS THINGS SINCE I ANNOUNCED THAT I GOT SAVED. GUYS CLAIM THAT I AM SWITCHING TO THE GOSPEL BECAUSE OF MONEY.

PEOPLE CAN BE JUDGMENTAL AND IT’S OFTEN BASED ON PERCEPTION. I PREFER TO FOCUS ON MY RELATIONSHIP WITH GOD AND GETTING TO KNOW HIM MORE”

Amani Kasema katika mahojiano na SDE

Show More

Related Articles