HabariMilele FmSwahili

Mwanamke anayetuhumiwa kumwiba pacha mmoja KNH kushitakiwa leo

Mwanamke anayetuhumiwa kumwiba pacha mmoja katika hospitali kuu ya Kenyatta atashitakiwa leo. Edinah Kerubo Mabuka anatarajiwa kufikishwa mbele ya hakimu Kennedy Cheruiyot baada ya upande wa mashitaka kudhibitisha kukamilisha uchunguzi. Kulingana na polisi bi Kerubo anakabiliwa na shitaka la wizi wa mtoto mwengine miaka mitatu iliyopita

Show More

Related Articles