HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Changamoto za mageuzi ya mfumo mpya wa elimu nchini ni tele

Elimu kwa wengi husemekana kuwa silaha bora zaidi kwa yeyote ambaye angependa kubadilisha dunia, lakini changamoto zinasalia nyingi kwa wengine kufanikisha hili.
Licha ya mtaala mpya wa 2-6-6-3 kuzinduliwa, walimu wanazidi kulalamika kwani tayari vitabu vya mfumo wa mtaala huo havijasambazwa katika baadhi ya shule. Aidha taasisi ya kuimarisha mtaala, KICD imekiri kwamba vitabu vitasambazwa shuleni kutamatika kwa mwezi huu.
Mwanahabari wetu Shukri Wachu alizuru kaunti ya Kwale na hii hapa taarifa yake kuhusiana na hayo.

Show More

Related Articles