HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Serikali kutumia magunia yote milioni 3 ya mahindi ya akiba

Serikali imetoa magunia milioni tatu ya mahindi kutoka kwa gala la serikali katika mradi dharura wa kupigana na baa la njaa katika sehemu mbalimbali humu nchini.
Waziri wa ugatuzi eugene wamalwa ametangaza kwamba tayari magunia elfu 90 ya mchele Yametumwa maeneo yaliyokumbwa zaidi na baa la njaa kwa hivi sasa haswa maeneo ya Kilifi, Kwale na Wajir.

Show More

Related Articles