HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Steve Mbogo apoteza kesi kupinga uchaguzi wa Njagua,Starehe

Mahakama mbalimbali leo zilitoa uamuzi wa takriban kesi nne za uchaguzi mojawapo iliyoibua tumbo joto ikiwa ya Mwanasiasa Steve Mbogo, aliyetakiwa kumlipa mbunge wa Starehe Charles Njagua shilingi milioni 10 ya gharama ya kesi iliyotupwa.
Kwengineko gavana wa Siaya Cornel Rasanga aliepuka maudhi ya uchaguzi mpya baada ya mahakama kusema kwamba mpinzani wake Nicholas Gumbo hakuwasilisha ushahidi wa kutosha kupinga uchaguzi wa Rasanga Agosti tarehe 8.

Show More

Related Articles