HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Baada ya watu 2 kufariki Murang’a, maradhi hayo yamedhibitiwa

Siku moja baada ya watu wawili kupoteza maisha yao kwa kile kinachodaiwa kuwa mkurupuko wa maradhi ya Kipindupindu katika eneo la kihumbuini kaunti ya Murang’a, sasa imeibuka kuwa kiini cha mkurupuko huo huenda kikawa ni hatua ya wafanyibiashara wa kibinafsi wanaozoa maji taka kuyaosha magari yao kwenye mito.

Lakini kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotuarifu, kufikia sasa hali imeweza kudhibitiwa na hakujashuhudiwa visa vyovyote vingine vya vifo.

Show More

Related Articles