HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Afisa Mkuu wa Bodi ya mashirika yasiyo ya kiserikali ajiuzulu

Afisa mkuu mtendaji wa bodi shirikishi yya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali Fazul Mahamed amejiuzulu.
Katika barua iliyotumwa kwa Amos Ntimama aliye mwenyekiti wa bodi hiyo, Fazul alielezea masikitiko makubwa ya kuondoka afisini tarehe mosi mwezi mei.
Ikizingatiwa kwamba amewahi kukwaruzana na baadhi ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali pamoja na wanasiasa mashuhuri, aliitaja miaka yake mitatu katika bodi hiyo kama yenye furaha.

Show More

Related Articles